PICHA MBALI MBALI ZA ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR-ES-SALAAM – (image) – (image) – Maji machafu karibu ya makazi ya watu na nyumba zizilojengwa kwenye maeneo hatarishi, – endapo mvua kubwa zitatokea tena ... | IMAGES various Effects of Flooding in Dar es-Salaam – (image) – (image) – Dirty water near human settlements and housing zizilojengwa in dangerous places, – If heavy rains occur again ... | Edit |
(document) | (Not translated) | Edit |
(image) (pictures taken by temmy temmy our reporter from iringa) – we all know that Climate Change is now considered one of the most serious global threats to sustainable development, with diverse impact already vivid on the environment, human health, food security, human settlements, economic activities, natural resources and physical infra structure. – To... | (Not translated) | Edit |
Skill sharing- Basic Interviewing Skills – Hallo there! – I would like to share with you some basic Interviewing Skills: – Know what your story is-in other words why you are doing the interview?
– Know what role this person is playing in your programme.
– Brief yourself-find out as much background on the story as... | (Not translated) | Edit |
ATHARI ZA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – Kutokana na mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam,tarehe 20/12/2011 wananchi wengi mpaka sasa hawana makazi ya kudumu na huduma za afya zimezidi kuzorota kwa kiwango kikubwa. – Takwimu zinaonesha kuwa watu wapatao 41 wamefariki dunia kutokana na mafuriko hayo,wakati wengine mamia wamepoteza makazi na mali zao.Baada ya tukio hilo kutokea serikali na wadau wengine walishirikiana kuhakikisha kuwa misaada ya hali na... | (Not translated) | Edit |
(document) | (Not translated) | Edit |
(image) ilikuwa ni tarehe 20/12/201, usiku na kuamkia tarehe 21/12/2011 wananchi wa jiji la Dar es salaam walijikuta katika wakati mgumu mara baada ya kukumbwa na mafuriko,ambayo yaliwaacha baadhi ya wakazi wa jiji hili wakiwa hawana makazi ya kuishi huku wengine wapatao 41 wakipoteza maisha. – Kutokana na hali hiyo,serikali,taasisi,mashirika na watu binafsi walijitoa kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wahanga wa mafuriko wanasaidiwa,kwa... | (image) was on 20/12/201, night and greet on 21/12/2011 citizens of the city of Dar es salaam, they find themselves in when faced tough times after the flood, which yaliwaacha some residents of this city with no home to live with About 41 others were killed. – Given the situation, governments, institutions, organizations and individuals committed to state property to ensure that the flood victims are being assisted, to seek shelter, clothing and... | Edit |
ELIMU YA STASDI ZA MAISHA. – Mimba za utotoni na utumiaji wa dawa za kulevya nchini Tanzania limekuwa ni tatizo linalokuwa siku hadi siku.Takwimu zinaonesha kuwa watoto wenye umri kuanzia miaka 9-25,ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa na tatizo hili. – Mwaka 2008 katika shule ya msingi Ilagala mkoani Kigoma binti wa miaka tisa alionekana kuwa na ujauzito ,hali ambayo ilihatarisha maisha yake na kiumbe kilichokuwa tumboni.Mwaka 2006 wanafunzi 64 wa kike... | STASDI EDUCATION OF LIFE. – Teenage pregnancy and drug use in Tanzania has been a problem until the day I linalokuwa .Takwimu suggest that children aged from 9-25 years, who are significantly affected by this problem. – In 2008 the primary school Ilagala Kigoma daughter of nine years was found to be pregnant, which ilihatarisha his life and being was tumboni.Mwaka 2006 students 64 girls who started school in high school Ilagala, students only 4 were fortunate to... | Edit |
HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM – kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu. – hali ya maisha kwa ujumla imekuwa ngumu sana kiasi kwamba wengine wamekata tamaa ya kuishi.Wapo wazazi ambao wana watoto wa shule,lakini tangu shule zinafunguliwa hawajaenda... | THE PURE LIFE after the floods in Dar es Salaam – as has been fortunate to visit areas that have suffered from flooding in this city, the situation is very bad for the residents of the areas most yo.Nyumba located in thick mud with mud as it limechanganyika and human waste. – conditions of life in general has become so complex that some have despaired of kuishi.Wapo parents who have children in school, but since school zinafunguliwa not go to school due to lack of... | Edit |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |
(hidden) |