Envaya

/jeanmedia/news: English: WI0009BF0361A69000095904:content

Base (Swahili) English

HALI HALISI YA MAISHA BAADA YA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM

  kama umebahatika kutembelea maeneo ambayo yamekumbwa na mafuriko katika jiji hili,hali ni mbaya sana kwa wakazi wa maeneo hayo.Nyumba nyingi ziko kwenye tope zito huku tope hilo likiwa limechanganyika na kinyesi cha binadamu.

  hali ya maisha kwa ujumla imekuwa ngumu sana kiasi kwamba wengine wamekata tamaa ya kuishi.Wapo wazazi ambao wana watoto wa shule,lakini tangu shule zinafunguliwa hawajaenda shule kutokana na kutokuwa na sare za shule na vifaa   vingine vya shule.

 hili ni tatizo jingine ambalo linaweza kuwakumba wakazi wa maeneo haya ya bondeni.Ugonjwa wa kipindu pindu uko karibu sana kulipuka kama hatua za makusudi hazitachukuliwa.Chakula,maji,kulala,na hata kucheza kwa watoto ni katika mazingira machafu sana ambayo hayamfai mwanadamu aliye hai kuishi.

 nyumba za wakazi hawa wa bondeni,ukijaribu kuzitazama kwa umakini utadhani ni mabanda ya kuku au mbuzi,hakika inahuzunisha sana.Jamii yote ya kitanzania inalojukumu la kuwasaidia waathirika hawa ili kuhakikisha kuwa maisha yao yanazidi kusonga mbele kama ilivyo kuwa hapo mwanzo.

 katika maeneo haya misaada ya haraka inayohitajika ni kama vile nguo hususani kwa watoto wa shule,dawa kwa ajili ya kuulia mazalia ya mbu,vyandarua,dawa za kutibu maji,vifaa vya kufanyia usafi kama vile jembe,vyekeo,dastibini,na mifagio mikubwa.

 mitaro ya kupitisha maji machafu katika nyumba za wakazi hawa imeziba,hali ambayo inaongeza uwezekana wa kuleta maradhi zaidi katika maeneo hayo.Pamoja na tatizo lillilojitokeza,kuna umuhimu wa kutolewa kwa elimu ya mazingira kwa wakazi hao ili kuwakinga na maradhi yanayoweza kuwakabili muda wowote.

 zoezi la kuwasaidia waathirika wa mafuriko kuweza kuhama kutoka katika maeneo hayo linaonekana kwenda pole pole sana,hali ambayo inachangiwa na uwezo mdogo wa serikali kuwahudumia waathirika wote kwa pamoja.Kutokana na hali hiyo wito kwa mashirika ya kiraia,taasisi za dini na watu binafsi,washiriki kikamilifu katika kuhakikisha kuwa wanatoa misaada kwa wahanga hawa wa mafuriko.

  Kuendelea kufumbia macho watu wanao endelea kukaa bondeni ni kuwachimbia  kaburi wakati wakiwa hai,hii ni kutokana na ukweli kuwa hata kabla ya mafuriko hali za wakazi hao ni mbaya sana kuanzia makazi na mazingira wanayoishi.Wito kwa wadau na watanzania wote wakazi wa bondeni ni ndugu zetu,tuwasaidie ili waweze kuondokana na hali waliyonayo kwa sasa.Waafrika tumezoea kusema 'kutoa ni moyo',usambe si utajiri.Saidia ili ibarikiwe.

 

THE PURE LIFE after the floods in Dar es Salaam

as has been fortunate to visit areas that have suffered from flooding in this city, the situation is very bad for the residents of the areas most yo.Nyumba located in thick mud with mud as it limechanganyika and human waste.

conditions of life in general has become so complex that some have despaired of kuishi.Wapo parents who have children in school, but since school zinafunguliwa not go to school due to lack of school uniforms and other school supplies.

This is another problem that could kuwakumba residents of these areas of the recorded cholera bondeni.Ugonjwa cartwheel is very near to explode as a deliberate step zitachukuliwa.Chakula, water, sleep, and play with children in squalor to which no man living yamfai live .

houses of the inhabitants of these valleys, you try to watch carefully as if it stalls of chicken or goat, indeed all of the Tanzanian inahuzunisha sana.Jamii inalojukumu to help these victims in order to ensure that their life continues to move forward just as before.

in these areas quick aid required is such as clothes especially for school children, medicine for spraying breeding of mosquitoes, mosquito nets, medicines to treat water, tools clean as a plow, vyekeo, dastibini, and brooms large.

drainage of dirty water to pass into the houses of these imeziba population, which increases the possibility of bringing more diseases in areas not yo.Pamoja lillilojitokeza problem, there need to be given to environmental education for local people to protect them against diseases that can confront any time.

exercise to help flood victims to migrate from these areas seems to go very slowly, which contributed to the low capacity of government to serve all victims pamoja.Kutokana the situation calls for civil society organizations, religious institutions and individuals, participants fully to ensure that they provide assistance to these victims of the floods.

Continue turning a blind eye those who still remained in the valley is kuwachimbia grave while alive, this is due to the fact that even before the flood situation of the population is very poor from housing and environment yoishi.Wito Tanzanian stakeholders and residents of the valley are all our brothers , help to overcome the situation they have in sasa.Waafrika we used to say 'give it a heart', not a jiri.Saidia usambe to be blessed.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 29, 2012
THE PURE LIFE after the floods in Dar es Salaam – as has been fortunate to visit areas that have suffered from flooding in this city, the situation is very bad for the residents of the areas most yo.Nyumba located in thick mud with mud as it limechanganyika and human waste. – conditions of life in general has become so complex that some have despaired of kuishi.Wapo parents who have children in school, but since school zinafunguliwa not go to school due to lack of...