Habari za kazi wapendwa?
ni jumuiya kimaendeleo sudeso.mimi naulizia tu tokea tujisajili hadi leo hakuna taarifa kutoka kwenu vp? au hatua gani tufanye ili kusukuma gurudumu la maendeleo?
12 Juni, 2011
sunrise development societyzanzibar, Tanzania |