Log in
sunrise development society

sunrise development society

zanzibar, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Jumuiya imeshafanya miradi midogomidogo ya uendeshaji  na utawala wa jumuiya yakifadhiliwa na:

1 waziri wa nchi afisi ya rais,utumishi wa umma na utawala bora na mwakilishi wa jimbo la TUMBATU ambae pia ni mlezi wa jumuiya hiyo.

2) the foundation for civil society ya Dar es salaam mafunzo undeshaji wa asasi za kiraia mda miezi mitatu tokea februari 2011 hadi aprill 2011