Jumuiya ya sunrise development society (SUDESO) iliazishwa disemba 2008 na kupatiwa usajili na mrajisi wa serikali ya mapinduzi zanzibar tarehe 01-12-2009 nambari 776.
jumuiya inawanachama 30, 13 wanawake na 17 wanaume, sambamba na bodi ya wadhamini yenye jumla ya watu wa tano.
jumuiya imeshajitambulisha sehemu tofauti za serikali pamoja na wazee wa sehemu husika
acoount ya jumuiya 021212000171 BENK YA WATU WA ZANZIBAR, JINA AKAUNT NI SUNRISE DEVELOPMENT SOCIETY.