mabadiliko ya tabia ya nchi. ujangili wa tembo na faru na uchafuzi mazingira hasa utupaji taka ovyo.
david boniface kaganda (moshi-kilimanjaro)
July 5, 2014 at 10:24 AM EAT
haya ndio matatizo makuu yanayoikabili nchi yetu kwa sasa. je kwanza unaelewa juu ya mada hizi? pili mchango wako ni nini kwa kile unachokijua kati ya mada hizi?