Kutokomeza suala la uharibifu wa mazingira ndani na nje ya Chuo kwa kuongeza mwamko kwa Wanazuoni na jamii iliyopo juu ya utunzaji na matumizi endelevu ya Maliasili na Utalii
Latest Updates
STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUB added 4 News updates.
MIMI MOTTO SAYI WA BARIADI TZ,NIMEFARIJIKA SANA KWA KUTEMBELEWA NA UONGOZI WA KITAIFA WA MALIHAI,HAPA CHUONI SAUT-MTWARA,KARIBUNI SANA ,TUNAWAPENDA SANA, – WENU,MOTTO,SAYI,M/KITI MALIHAI SAUT
January 26, 2014
STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUB updated its Team page.
Motto sayi (Mwenyekiti) – Charles Joseph B.(Makamu Mwenyekiti) – Makuka Musa(Katibu) – Masaka SizaKatibu msaidizi) – Chimoto Philomena (Mtunza hazina)
December 5, 2013

January 11, 2013

STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUB added a News update.
AFISA Malihai Club of Tanzania(MCT)CHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII TOKA MAKAO MAKUU ARUSHA AKIMKABIDHI VYETI MKUU WA CHUO KWA WAHITIMU WA MWAKA WA TATU 2009/2012. WAKWANZA KUSHOTO NI MWALIMU MLEZI WA STEMMUCO MALIHAI CLUB Read more
January 11, 2013
STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUB added a News update.
Wanakikundi wa malihai waliohitimu shahada katika chuo cha STEMMUCO (Stella Maris Mtwara University College) walikabidhiwa vyeti vya Malihai kama uthibitisho wa ushiriki wao na utambuzi wa mchango wao katika shughuli mbalimbali za kimazingira mkoani Mtwara.
December 8, 2012
Sectors
Location
Mtwara, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations