Envaya
STEMMUCO MALIHAI ENVIRONMENTAL CLUB
Discussions
Parts of this page are in Swahili.
Edit translations
Utunzaji wa Mazingira.
(8)
Mazingira Safi Ni Afya Bora,ndo Uhai,maisha Maref,.Tupande Miti
December 5, 2016 by Frank Mtundu
mabadiliko ya tabia ya nchi. ujangili wa tembo na faru na uchafuzi mazingira hasa utupaji taka ovyo.
haya ndio matatizo makuu yanayoikabili nchi yetu kwa sasa. je kwanza unaelewa juu ya mada hizi? pili mchango wako ni nini kwa kile unachokijua kati ya mada hizi?
July 5, 2014 by david boniface kaganda
marine and coastal management
(4)
Je nini kinafanya hadi shinyanga na singida ziweze kutokuwa na mazingira mazuri kama ilivyo mikoa mingine kama iringa,moro etc? Nini kifanyike ili mikoa hoii iweze kuwa na kijani kingi.Thx
May 25, 2014 by Motto sayi
Other discussions on Envaya
Add New Discussion Topic