Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Shughuli zetu:
-Mafunzo kwa ajili ya vituo vya kulelea watoto wadogo.
- Mafunzo ya kompyuta na mawasiliano.
-Mafunzo ya Ujasiliamali.
-Mafunzo ya elimu ya watu wazima kwa kiwango cha shule za msingi na sekondari.
-Mafunzo ya stadi za maisha kwa vijana.