Fungua
ST RAYMOND UNIVERSAL  INSTITUTE

ST RAYMOND UNIVERSAL INSTITUTE

MULEBA, Tanzania

     Shughuli zetu:

-Mafunzo kwa ajili ya vituo vya kulelea watoto wadogo.

- Mafunzo ya kompyuta na mawasiliano.

-Mafunzo ya Ujasiliamali.

-Mafunzo ya elimu ya watu wazima kwa kiwango cha shule za msingi na sekondari.

-Mafunzo ya stadi za maisha kwa vijana.