Fungua
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA)

Mkalapa, Ndanda-Masasi, Tanzania

KUTUMIA nguvu ya umoja wa kikundi cha WEMA kuhamasisha wananchi wanaoishi vijiji vya Kata ya Mwena, pamoja na wakazi wa wilaya ya Masasi, walengwa wakiwa wale wenye kipato cha chini, kwa kushirikisha makundi yote ya jamii yaani; wanawake kwa wanaume, vijana kwa wazee, wanafunzi, pamoja na walemavu, ili washiriki katika shughuli za kujiletea maendeleo, ambayo kimsingi zitawaondolea hali ya umaskini na unyonge ambao hivi sasa umejiimarisha ndani ya wananchi walio wengi katika wilaya ya Masasi.

Mabadiliko Mapya
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) imehariri ukurasa mkuu.
6 Novemba, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) imeongeza Nuru Halisi kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
21 Oktoba, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) imehariri ukurasa wa Miradi.
KAZI NA SHUGHULI ZINAZOSHUGHULIKIWA NA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) – 1. Kikundi cha WEMA kinaendesha Maktaba ya Jamii ambayo ipo katika kijiji cha Mkalapa kilichopo wilaya ya Masasi. Maktaba ya WEMA ina vitabu vinavyokidhi mahitaji ya... Soma zaidi
20 Oktoba, 2010

16 Oktoba, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) imeumba ukurasa wa Timu.
TIMU YA VIONGOZI WA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) NA MAHALI KIKUNDI KILIPO – MAKAO YA KIKUNDI CHA WEMA: KIJIJI CHA Mkalapa-Ndanda ... Soma zaidi
16 Oktoba, 2010
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA) imehariri ukurasa wa Miradi.
KAZI NA SHUGHULI ZINAZOSHUGHULIKIWA NA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) – 1. Kikundi cha WEMA kinaendesha Maktaba ya Jamii ambayo ipo katika kijiji cha Mkalapa kilichopo wilaya ya Masasi. Maktaba ya WEMA ina vitabu vinavyokidhi mahitaji ya... Soma zaidi
14 Oktoba, 2010
Sekta
Sehemu
Mkalapa, Ndanda-Masasi, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu