Fungua
Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA)

Wanaharakati wa Elimu Mazingira na Afya (WEMA)

Mkalapa, Ndanda-Masasi, Tanzania

Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari.
ENVAYA WAMETUTEMBELEA OFISINI KWETU LEO
30 Mei, 2012
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari 57.
DIWANI WA GONGO LA MBOTO NA MSTAHIKI MEYA WA MANSPAA YA ILALA MH JERRY SLAA AKIPOKEA ZAWADI YETU KAMA ISHARA YA KUTUPONGEZA KWA UWAJIBIKAJI WETU MZURI
28 Juni, 2011
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari.
NURU HARISI WAENDELEA KUTOA ELIMU KWA MAMA NA BABA LISHE – DIRA YETU NI KUWAWEZESHA WAUZA VYAKULA NA MATUNDA WAZINGATIE YAFUATAYO ILI KUEPUKA KUENEA KWA KIPINDUPINDU KWA WATEJA – Osha vyombo kwa maji safi na sabuni Kufunika vyombo vyote vizuri na kwa... Soma zaidi
22 Desemba, 2010
Nuru Halisi
Nuru Halisi imehariri ukurasa wa Timu.
Abubakar Saleh – Executive secretary. – Bernadetha Bageni – Chairperson – Philipo Mtoro – Community Relation officer – Wema Semwenda – Accoutant – Liberatus Mlay – Member – Edger Ndamwesiga... Soma zaidi
18 Oktoba, 2010
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari.
Mwezi August na september Nuru Halisi imetoa mafunzo kwa mama na baba lishe katika maeneo ya mazizini-Ukonga, Mafunzo hayo yalihudhuriwa na watu 32 na yalihusisha viongozi wa Kata ya Ukonga kitengo cha afya. Pamoja na kutoa elimu hiyo ya namna ya kutunza vyakula katika hali ya usafi, pia walipatiwa elimu ya namna ya... Soma zaidi
18 Oktoba, 2010
Nuru Halisi
Nuru Halisi imehariri ukurasa wa Timu.
Abubakar Saleh – Executive secretary. – Bernadetha Bageni – Chairperson – Philipo Mtoro – Community Relation officer – Wema Semwenda – Accoutant – Liberatus Mlay – Member – Edger Ndamwesiga... Soma zaidi
16 Septemba, 2010
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari.
Katibu wa Nuru Halisi akiwa na viongozi wa kikundi cha Nuru Development Group(KIMANU) katika moja ya vikao vyake. Kikundi hiki tayari kimeanzisha mradi wa uyoga na kinaendelea kuandaa miradi mingine ya maendeleo. Soma zaidi
31 Agosti, 2010
Nuru Halisi
Nuru Halisi imeongeza Habari.
NURU DEVELOPMENT GROUP tayari wameshafanikisha kupanda uyoga, wanakikundi wamepeana majukumu ya kuutunza na viongozi kuendelea kutoa elimu pamoja na kutafuta fursa nyingine, Kikundi bado kinakaribisha wanachama ili kuwa na wigo mkubwa zaidi. Pia tunakaribisha wajasiriamali wadogo wagogo ili tuungane na kupanuka zaidi na... Soma zaidi
31 Agosti, 2010
Nuru Halisi
29 Agosti, 2010