TIMU YA VIONGOZI WA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) NA MAHALI KIKUNDI KILIPO
MAKAO YA KIKUNDI CHA WEMA: KIJIJI CHA Mkalapa-Ndanda
KATA YA Mwena
WILAYA YA Masasi
MKOA WA Mtwara - Tanzania
1. MWENYEKITI WA WEMA: Mr. Fidelis Milanzi
2. MAKAMU MWENYEKITI WA WEMA: Mr. Soteri Mnembuka
3. KATIBU WA WEMA: Mr. Ally K. Kamtande
4. MTUNZA FEDHA WA WEMA: Mchungaji: Joseph Mwanga
5. KAMATI YA UTENDAJI (Ina wajumbe wafuatao):
i. Fidelis Milanzi
ii. Soteri Mnembuka
iii. Ally K. Kamtande
iv. Joseph Mwanga
v. Rehema Amiri
vi. Jeneth Mwanga
vii. Jesca Milanzi
MRATIBU NA MSHAURI WA WEMA: Mr. Mussa P.M. Kamtande
KWA MUJIBU wa Katiba ya WEMA, kiongozi atadumu katika madaraka kwa muda wa miaka mitatu. Baada ya hapo uchaguzi hufanyika. Yule atakayehitajika na wanakikundi anaweza kuchaguliwa tena kuwa kiongozi, katika nafasi yeyote.
Kwa upande wa Mshauri na Mratibu wa kikundi, yeye hachaguliwa. Katika kikundi cha WEMA yeye ndiye mhamasishaji na chimbuko la kuanzishwa kwa kikundi hicho, na karibu taarifa zote zinazohusu kikundi zimeandaliwa na yeye.