Fungua
MUWAPE SACCOS LTD

MUWAPE SACCOS LTD

WETE MTEMANI, Tanzania

Asasi ya Muwape inatoa huduma za Mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo katika maeneo ya Kilimo,Uvuvi,Ufugaji ,Biasha na Viwanda viddogo vidogo.

Inahitaji kufanya kazi na mashirika mengine ya tasisi za fedha ya ndani na nje.pia unahitaji kufanya mashirikiano ya aina mbali mbali na mashirika mengine katika nyanja za biashara.

29 Juni, 2012
Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.