Asasi ya Muwape inatoa huduma za Mikopo kwa wajasiriamali wadogo wadogo katika maeneo ya Kilimo,Uvuvi,Ufugaji ,Biasha na Viwanda viddogo vidogo. – Inahitaji kufanya kazi na mashirika mengine ya tasisi za fedha ya ndani na nje.pia unahitaji kufanya mashirikiano ya aina mbali mbali na mashirika mengine katika nyanja za biashara. | (Not translated) | Edit |