Injira
MUWAPE SACCOS LTD

MUWAPE SACCOS LTD

WETE MTEMANI, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Asasi inahitaji mtu wa kujitolea kwa ajili ya kuiongezea nguvu Asasi.Tunahitaji mtaalamu wa mambo ya I T na Meneja wa masoko.Sifa awe ni mtaalamu wa mambo hayo kwa kiwango cha Diploma au Degree.

Mahala pakufanyia kazi ni Wete Pemba.

Muda wa kujitolea utategemea mafanikio .na mtu wa kuwasiliana naye ni Katibu/Meneja Ali Jabir Khamis