Envaya

MUWAPE SACCOS LTD

WETE MTEMANI, Tanzania

kuona jamii ya watu waishio pemba wanapata mikopo kiurahisi.

kuona jamii ya watu wa pemba wanakuzisha biashara zao na shughuri zao za kilimo kwa kupitia huduma za mikopo zitolewazo na muwape saccos

Mabadiliko Mapya
MUWAPE SACCOS LTD imeumba ukurasa wa Jitolee.
Asasi inahitaji mtu wa kujitolea kwa ajili ya kuiongezea nguvu Asasi.Tunahitaji mtaalamu wa mambo ya I T na Meneja wa masoko.Sifa awe ni mtaalamu wa mambo hayo kwa kiwango cha Diploma au Degree. – Mahala pakufanyia kazi ni Wete Pemba. – Muda wa kujitolea utategemea mafanikio .na mtu wa kuwasiliana... Soma zaidi
29 Juni, 2012
MUWAPE SACCOS LTD imeongeza Habari 3.
Mhe.Shein akikaguzwa kwenye Ofisi kabla hajaanza shughuli ya uzinduzi wa Mpango wa Benki ya Jamii ya Pemba.
29 Juni, 2012
MUWAPE SACCOS LTD imeumba ukurasa wa Timu.
1.Mwenyekiti.Salim Khamis Salim – 2.Makamo Mwenyekiti.Miza Khamis Haji. – 3.Katibu/Meneja.Ali Jabir Khamis. – 4.Rashid Said Nassor .Muhasibu – 5.Rashid Salim Omar.Afisa wa Mikopo.
29 Juni, 2012
MUWAPE SACCOS LTD imeongeza crdb kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
29 Juni, 2012
MUWAPE SACCOS LTD imeumba ukurasa wa Historia.
Asasi ya Muwape ni Chama cha Ushirika cha kuweka na kukopa. – Asasi hii ilianzishwa munamo mwaka 2010 mwezi wa pili kikiwa na wanachama 35, kilianza kutoa mikopo kwa wanachama 34 kwa kuanzia na kima cha Tsh 200,000 na hadi leo hii mwezi wa June 2012 Asasi ina wanachama 250 na inatoa mikopo hadikiwango cha Tsh 3,000,000. ... Soma zaidi
29 Juni, 2012
MUWAPE SACCOS LTD imeumba ukurasa wa Miradi.
Asasi ya Muwape inategemea kutekeleza Mradi wa Kuwajengea Uwezo Viogozi na Wanacha wa Uelewa wa Kuiongoza Asasi kwa umahiri. – Mradi huo utafadhiliwa na Foundation for Civil Society.Mradi ni wa Ruzukuya Tsh.7,364,500. – Mradi huu utakuwa wa Miezi mitatu pia utawashirikisha jamii inayozunuka eneo la...
29 Juni, 2012
Sekta
Sehemu
WETE MTEMANI, Pemba Kaskazini, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu