Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) imeumba ukurasa wa Timu.
Uongozi wa MCAEE ni kama unavyoonekana hapo chini – Bakar Jaha Muhidin - mwenyekiti wa MCAEE – Hoja Mweleza Haji - makamo mwenyekiti MCAEE – Idrisa Ali Mati - katibu wa MCAEE – Juma Makungu - makamo katibu MCAEE – Chumu Nyange - mshika fedha... Soma zaidi
23 Novemba, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) imeumba ukurasa wa Miradi.
MCAEE ni community based organization (CBO) na inajishughulish na miradi vile elimu ya ukimwi na mazingira pamoja na kazinyengine za kijamii yakiwemo maji safi na salama. – Kwa sasa MCAEE inategemea kuazisha mradi wa Community Based Tourism ambayo itaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili na wanyama pori kama vile paa (dear)... Soma zaidi
23 Novemba, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) imejiunga na Envaya.
Sehemu: Tanzania
21 Novemba, 2010