ibigo by'abafatanya bikorwa
Amakuru agezweho
Uongozi wa MCAEE ni kama unavyoonekana hapo chini – Bakar Jaha Muhidin - mwenyekiti wa MCAEE – Hoja Mweleza Haji - makamo mwenyekiti MCAEE – Idrisa Ali Mati - katibu wa MCAEE – Juma Makungu - makamo katibu MCAEE – Chumu Nyange - mshika fedha... Soma ibindi
23 Ugushyingo, 2010
MCAEE ni community based organization (CBO) na inajishughulish na miradi vile elimu ya ukimwi na mazingira pamoja na kazinyengine za kijamii yakiwemo maji safi na salama. – Kwa sasa MCAEE inategemea kuazisha mradi wa Community Based Tourism ambayo itaenda sambamba na hifadhi ya misitu ya asili na wanyama pori kama vile paa (dear)... Soma ibindi
23 Ugushyingo, 2010
Matemwe Control HIV/AIDS, Education and Environment (MCAEE) yasanze Envaya.
Aho uherereye: Tanzaniya
21 Ugushyingo, 2010