Log in
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK

MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK

Masasi, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuimarisha mfumo wa mawasiliano ya vijana kuhusu ukimwi na athali za madawa ya kulevya

kuratibu ushirikiano ubadilishaji wa habari,ujuzi uzoefu na maswala mbalimbali yanayohusu vikundi hivyo

kuwa kiungo/mratibu kati ya wanachama,uongozi na wilaya, mkoa na Taifa.

kuwa mtetezi wa vikundi vya vijana Masasi ili vipante kuwakilishwa katika nyanjazote na elimu ya ujasiliamali

kutoa mafunzo ya stadi za maisha utawala bora, sera za vijana ubunifu wa miradi

 

Latest Updates
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK updated its Projects page.
MASAYODEN kwa mwaka 2010 tumeweza kufa
May 28, 2013
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK added a News update.
UTAMBULISHO MASAYODENni shikalisilo la kiserikali na lipo wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara.Shirika lilianzishwa rasmi tarehe 18/5/2002 liliundwa na vikundi 34 vya vijana toka kila kata za wilaya ya Masasi. Masayoden ilisajiliwa tarehe 13/6/2003. namba ya usajili ni S .O.NO 11980 .Shirika linafanya shughuli za vijana ngazi ya wilaya. Lengo kuu ni... Read more
May 26, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK added a News update.
May 25, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK created a History page.
vijana masasi wanufaika na Foundation ni shirika liliwafadhiri Masayoden kwa mradi wa kujengea uwezo wanachama viongozi
May 17, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK joined Envaya.
May 17, 2011
Sectors
Location
masasi, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations