Fungua

/masayoden: Kiswahili: WI0006D47BADC64000020657:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

Kuimarisha mfumo wa mawasiliano ya vijana kuhusu ukimwi na athali za madawa ya kulevya

kuratibu ushirikiano ubadilishaji wa habari,ujuzi uzoefu na maswala mbalimbali yanayohusu vikundi hivyo

kuwa kiungo/mratibu kati ya wanachama,uongozi na wilaya, mkoa na Taifa.

kuwa mtetezi wa vikundi vya vijana Masasi ili vipante kuwakilishwa katika nyanjazote na elimu ya ujasiliamali

kutoa mafunzo ya stadi za maisha utawala bora, sera za vijana ubunifu wa miradi

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe