Fungua
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK

MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK

Masasi, Tanzania

Kuimarisha mfumo wa mawasiliano ya vijana kuhusu ukimwi na athali za madawa ya kulevya

kuratibu ushirikiano ubadilishaji wa habari,ujuzi uzoefu na maswala mbalimbali yanayohusu vikundi hivyo

kuwa kiungo/mratibu kati ya wanachama,uongozi na wilaya, mkoa na Taifa.

kuwa mtetezi wa vikundi vya vijana Masasi ili vipante kuwakilishwa katika nyanjazote na elimu ya ujasiliamali

kutoa mafunzo ya stadi za maisha utawala bora, sera za vijana ubunifu wa miradi

 

Mabadiliko Mapya
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK imehariri ukurasa wa Miradi.
MASAYODEN kwa mwaka 2010 tumeweza kufa
28 Mei, 2013
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK imeongeza Habari.
UTAMBULISHO MASAYODENni shikalisilo la kiserikali na lipo wilaya ya Masasi mkoa wa Mtwara.Shirika lilianzishwa rasmi tarehe 18/5/2002 liliundwa na vikundi 34 vya vijana toka kila kata za wilaya ya Masasi. Masayoden ilisajiliwa tarehe 13/6/2003. namba ya usajili ni S .O.NO 11980 .Shirika linafanya shughuli za vijana ngazi ya wilaya. Lengo kuu ni... Soma zaidi
26 Mei, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK imeongeza Habari.
25 Mei, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK imeumba ukurasa wa Historia.
vijana masasi wanufaika na Foundation ni shirika liliwafadhiri Masayoden kwa mradi wa kujengea uwezo wanachama viongozi
17 Mei, 2011
MASASI YOUTH DEVELOPMENT GROUPS NETWORK imejiunga na Envaya.
17 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
masasi, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu