Envaya

MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI

MTWARA MIKINDANI MANISPAA, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuwezesha kwa mafunzo na ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi, kwa Waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI Ili kuwa na jamii yenye afya bora na uendelevu wa Huduma kwa ujumla bila kujali tofauti za kijinsia,  pia kutoa elimu ya UKIMWI Sehemu za kazi, mashuleni na jamii kwa ujumla pamoja na kuwahudumia watoto yatima na waishio ktk mazingira magumu

Latest Updates
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI created a History page.
UTANGULIZI – Asasi ya Mapambano Dhidi ya Umasikini na Ukimwi ni Asasi isiyo ya kiselikari na isiyolenga kugawana faida lakini inalenga kutoa ushauri wa kuendesha miradi ya kiuchumi kwa waathirika na waathiriwa wa janga la UKIMWI. Asasi hii imeanzishwa na watu wachache wanaoishi na virusi vya UKIMWI Tangu mwaka 2006 ... Read more
June 14, 2011
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI created a Team page.
[ 1 ] MOHAMED ABDALAH MTAMA M/KITI – [ 2 ] ISSA HAMISI MTAMBO KATIBU MTENDAJI – [ 3 ] TATU SAIDI MBUNDA MHAZINA – [4 ] SOMOE SALUM MANDUNDU M M/KITI – [ 5 ] ZAINAB PETER NCHIA MJUMBE – [ 6 ] PILLI ... Read more
May 23, 2011
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI added netwo to its list of Partner Organizations.
May 18, 2011
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI added Society for Women and AIDS in Africa to its list of Partner Organizations.
May 18, 2011
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI created a Projects page.
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI MADUU Tunayo miradi mikuu mitatu kwa sasa – miradi hiyo ni KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGAMBOGA KIJIJI CHA MBAE KATA YA UFUKONI MANISPAA YA MTWARA – MRADI WA UFUGAJI WA MBUZI WZ ASILI WA NYAMA NA MAZIWA NA WATATU NI MRADI WA KUTOA ELIMU YA...
May 18, 2011
MAPAMBANO DHIDI YA UMASIKINI NA UKIMWI added a News update.
Mapambano dhidi ya umasikini na UKIMWI Ni shirika lisilo la kiserikali lililo anzishwa tangu mwaka 2006 na watu wachache waishio na VVU / UKIMWI wazo la kuanzisha asasi hii lilikuja baada ya kutafakari changamoto mbalambali zinazowakabili watu waishio na vvu /ukimwi ktk maisha yao kwa ujumla Hii ilipelekea kuanzishwa kwa... Read more
May 18, 2011
Sectors
Location
MTWARA MIKINDANI MANISPAA, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations