Parts of this page are in Swahili. Edit translations
CHAMA CHA WALIMU CHATANGAZA MGOGORO NA SERIKALI
Na Grace Ndossa
CHAMA cha Waalimu Tanzania(CWT)kimesema kuwa kusudio la kutangaza mgogoro na serikali liko pale pale kama ilivyopitishwa na Baraza la Taifa la Chama kwa sababu hakuna hatua za makusudi zilizochukuliwa na serikali kukabilia na matatizo ya waalimu hasa wanaoidai.
Pia chama hicho kimetoa wito kwa watendaji wake kuwasilisha majina ya waalimu wanaodai kwa kuzingatia maelekezo yaliyotolewa kwao.
Hata hivyo alisema kuwa wanachama wanaobwa kushirikiano na viongozi wao japo kuwa inaonekana kuwa ni usumbufu kwa kuwasilisha nyaraka mara nyingi bila ya kuyapatiwa ufumbuzi.
Kauli hiyo ilitolewa Dar es salaam jana na Rais wa Chama hicho Bw. Gratian Mukoba alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusina na maazimio waliofikia walipokaa na serikali kujadili madai yao.
Alisema kuwa walimu wanatakiwa kuendelea kuwa na subira wakati majadiliana yakiendelea na serikali ili kujua hatma ya madeni yao baada ya kikao kilichopangwa kufanyika kabla ya mwezi huu kukamilika.
Alisema kuwa maazimio yaliyofikiwa na kikao hicho ni chama kiwasilishe majina ya waalimu wanaodai kwa kuzingatia format iliyokubalika ili kiweze kudhibitisha madai yaliyowasilishwa ya zaidi ya sh bilioni 29.2.
Alisema kuwa majina hayo yanatakiwa kuwasilishwa kwa katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma kabla ya Agosti 15 mwaka huu nyaraka zenye majina ya walimu hao.
'Serikali ilikuwa na wasiwasi kuwa huenda wanaodai ni wale waliokwishalipwa au waliowasilishwa nyaraka zao na mkaguzi na mdhibiti wa Hesabu za serikali alikataa madai yao na aidha walikata rufaa wakakataliwa au hawakukata rufaa,'alisema Bw. Mukoba.
Pia alisema kuwa majina ya walimu waliokuwa wanastahili kupandishwa madaraja kwa miaka ya nyuma lakini hawakupandishwa mwaka jana wa fedha kwa madai kuwa mwajiri hakuwa na fedha, hawa ni walioanza kazi mwaka 2007, waliopandishwa madaraja kwa mwaka jana wa fedha.
Hata hivyo alisema kuwa serikali inatakiwa kuangali upya waraka wa utumishi wa Kumb. Na.C/CA.44/45/01/84wa Desemba 1 mwaka 2009 ambao umelalamikiwa sana na waalimu wanaojiendeleza.
Bw. Mukoba alisema kuwa ushauri uliotolewa kwa siku zijazo viongozi wa CWTngazi za Wilaya washirikiene na wakurugenzi kuhakiki madeni ya waalimu kila baada ya miezi mitatu ili kwa pamoja wabaini madeni mapema na taarifa iwe moja kuepuka uisumbufu unaojitokeza kwa sasa.
'Walimu wakumbuke kuwa kuwasilisha madai huku akijua kuwa si madai halali ni kosa la jinai na atakayebainika mwajhiri wake atachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani,'alisema Mukoba
Alisema kuwa Pande zote mbili kwenye kikao hicho kilikubalina kuwa serikali itaitisha kikao kingine kabla ya Agosti 30 mwaka huu baada ya CWT kuwasilisha majina Agosti 15 ili kwa pamoja pande zote zipitie na kuona ukubwa wa tatizo la madai ya waalimu kama yalivyowasilishwa, baada ya kukusanya madeni kutoka mikoani na kikao hicho ndicho kitatoa hatma ya utekelezaji.

Comments (0)
Florida on hurricane alert as tropical storm Emily is gaining power and threatens to hit the U.S. by the weekend
A tropical storm has formed in the Caribbean and could develop into a hurricane before hitting the U.S. coast, experts warned today.
Emily is currently travelling north and west and could eventually have wind speeds in excess of 74 mph prompting severe weather warnings and watches in Florida.
According to the U.S. National Hurricane Centre, while there have been many tropical storms that have hit land along the Atlantic Seaboard of the U.S. in recent years, the last hurricane to hit the Sunshine State was Jeanne in September 2004.
Caribbean islands in Emily's path have already been hit with torrential rain, flash flooding, and mudslides while roads have been washed away.

Dangerous: The last hurricane to hit Florida was Jeanne in 2004, and this picture of boats at the Davis Island Yacht Club, in Tampa shows its power
Downpours and waves have caused problems with flooding in the Lesser Antilles, including the failure of a dam on Dominica.
Although its winds are not currently above 40 mph, it is feared Emily may grow into at least a Category 1 hurricane, when winds must hit at least 74 mph on the five-step Saffir-Simpson Hurricane Wind Scale.
'It could be impacting the Florida peninsula this weekend,' said Andy Mussoline, a meteorologist with AccuWeather in State College, Pennsylvania.
Gaston was the last hurricane to hit the U.S. Atlantic Seaboard north of Florida, also during 2004, while Earl hit Nova Scotia, Canada, as a hurricane in 2010.
The new storm is about 350 miles south east of San Juan, Puerto Rico after it formed 50 miles south west of the island of Dominica and is expected to take a turn towards Florida over the next couple of days.

Power: Highway US1 was washed away along the Indian River in Brevard Country, Florida when hurricane Jeanne hit land seven years ago

Aftermath: Homes were lifted up and smashed when hurricane Jeanne hit Fort Pierce, Florida in September 2004
Storm warnings are in effect for Dominica, Puerto Rico, the Dominican Republic and the islands of Guadeloupe, Desirade, Les Saintes and Marie Galante, meaning that tropical storm conditions were expected within 36 hours.
Haiti, the U.S. Virgin Islands and St. Kitts, Nevis, Montserrat and Antigua are also under a tropical storm watch.
According to the U.S. Hurricane Centre, it is heading west at 17 miles per hour and is spanning an area of about 70 miles.
'This one is pretty vigorous, so we're watching it,' said Dennis Feltgen, spokesman for the Miami-based centre.
Aircraft was sent to the area on Monday and was expected to resume reconnaissance work on Tuesday, he said.
'This is a great reminder that we're fast approaching the beginning of the peak of the (hurricane) season,' said Feltgen, calling on residents to get prepared now.
Also on Monday, the National Hurricane Centre said that Eugene became the fifth hurricane of the eastern Pacific season.
Located about 435 miles south-west of Manzanillo, Mexico, the Category 1 hurricane is not forecast to hit land.
VODACOM MISS TANZANIA 2011 KUINGIA KAMBINI TAREHE 8/8/2011
Mkurugenzi wa Lino Internation Agency waandaji wa Miss Tanzania Hashimu Lundenga akiongea na kuwatambulisha baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania miaka ya nyuma katika moja ya hafla jijini Dares Salaam.
Lino Internation Agency chini ya Mkurugenzi wao Hashim Lundenga ambao ni waandaji wa shindano lenye hadhi ya kimataifa la urembo la Vodacom Miss Tanzania wametangaza rasmi jumla ya warembo thelathini (30) waliofanyikiwa kupata nafasi ya kushiriki katika shindano la Urembo la Vodacom Miss Tanzania 2011.
Warembo hawa wamepatikana baada ya kupitia ngazi mbali mbali za Mashindano ya Vodacom Miss Tanzania katika ngazi za chini, ikiwa ni pamoja na Vitongoji, Wilaya na Mikoa, na hatimaye ngazi ya Kanda, Jumla ya Kanda kumi na moja (11) zilishirikishwa katika Mashindano haya,alisema Lundenga
Alisema kambi ya shindano hili la 'Vodacom Miss Tanzania 2011' inategemea kuanza siku ya Jumatatu ya tarehe 8 / 8 / 2011 jijini Dares Salaam.
Lundenga alitoa wito kwa washiriki wote waliochaguliwa kwenye kambi hiyo kuripoti tarehe iliyotajwa hapo juu bila ya kukosa, katika ofisi za Miss Tanzania zilizopo mtaa wa Mkwepu saa 4.00 asubuhi.
Mkurugenzi huyo aliwataja warembo wanaotakiwa kufika kambini kuwa ni Chiaru Masonobo kutoka Dares Salaam,Zerulia Manoko,Maua Kimambo,Dalilah Ghalib,Christine Mwenegoha(kanda ya kati)Chritine William,Atu Daniel,Leyla Juma(Nyanja za juu kusini)Zubeda Seif,Stacey Alfred,Rose Hubert(kanda ya kaskazini)Husna Twalib,Cynthia Kimasha,Mwajab Juma(Kanda ya Temeke)Neema Mtitu,Weirungu David(Open University)Glory Lory,Blessing Ngowi(Higher Learning)Loveness Flavian,Asha Salehe,Mariaclara Mathayo,(Kanda ya Mashariki)Trace Sospeter,Irene Karugaba,Glory Samwel(Kanda ya Ziwa)Stella Mbuge,Husna Maulid,Hamisa Hussein(Kanda ya Kinondoni)Salha Israel,Alexia Willims,Jenifer Kakolaki(Ilala)
Nae Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania Bw.George Rwehumbiza alisema kampuni yake ipo tayari kuwapokea warembo kwani mwaka huu wamejiandaa vya kutosha na wanatarajia kuyaweka mashindano haya ya urembo kuwa ya kimataifa zaidi kuendana na silogani ya Vodacom isemayo 'Kazi ni Kwako'akimaanisha maandalizi yote yako vizuri kazi kubwa ni ni kwa warembo wenyewe tu kujiweka sawa na ili baadae waje kuipeperusha bendera ya Taifa letu kimataifa siku za usoni.
Lundenga aliongeza kwa kusema iwapo itatokea mshiriki kushindwa kufika kwa wakati na tarehe iliyotajwa hapo juu basi mshiriki huyo atakuwa amejiondoa mwenyewe katika Mashindano haya na nafasi yake kupewa mshiriki mwingine.
HATIMAE MAANDALIZI YA MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAKAMILIKA TAYARI KWA KUFUNGULIWA KESHO 3/8.2011
| Jengo la Veta likiwa limeshakamilika |
| Vodacom wakimalizia jukwaa la maonyesho mbali mbali ya bidhaa zao |
| CRDB wakiwa wameshakamilisha bada lao |
| Chuo cha computer ZooM wakiwa katika hatua za mwisho tayari kwa maonyesho kesho |
| Jengo la halmashauri ya jiji la Mbeya katika hatua za mwisho |
| Nao akina dada hawapo nyuma kujiandaa kwa maonyesho hapo wakisukana nywele uwanjani hapo chanzo Mbeya yetu blog |
A tribute to Aaliyah, a multi-talented actress
A tribute to Aaliyah, a multi-talented actress and beloved pop and R& B music icon, who passed away on August 25, 2001, yet her musicwill live on forever.
Approximately ten years ago this month, the pop and R & Bmusic world lost one of its most gifted and beloved female vocalists,Aaliyah. Throughout her career, she earned several multi-platinumalbums, #1 radio singles, awards, and showcased her acting ability,starring in films.Aaliyah's Achievements in Music
Aaliyah's first record Age Ain't Nothing but a Number was released in June of 1994 via the label Jive Records, and according to the Recording Industry Association of America (RIAA), it sold in excess of two million units. Equally successful were her follow-up albums One in a Million and her self-titled CD (released in July of 2001), which have also been certified double-platinum by the RIAA."Try Again": Aaliyah's Most Successful Single
Her most successful radio single to date is "Try Again," which was the lead-off song in the Romeo Must Die soundtrack. It peaked at #1 on the Billboard Hot 100 Charts for the week ending June 12, 2000.Aaliyah's "Miss You"
One of the most captivating and soothing ballads Aaliyah had ever recorded was "I Miss You" from her I Care 4 Urecord, which was released posthumously. A music video was filmed forthe tune in an effort to pay tribute to the late songstress, whichfeatured many of Aaliyah's peers and friends singing along to itsbittersweet lyrics.Acclaimed rapper DMX made the opening remarks in the videoexpressing his genuine love and admiration for the singer, andsimultanesouly praised her for "being an angel on earth." Severalnoteworthy musicians that made cameos in the video include MissyElliott, Toni Braxton, Jamie Foxx, Ananda Lewis, Lil' Kim, Quincy Jonesand Queen Latifah, among others.
Written with bittersweet lyrics, this song seemed to strike a chordwith the worldwide audience and move them, since it went on to peak at#1 on the Billboard Hot R & B Charts for the week ending January25, 2003, and maintained that spot for three consecutive weeks;moreover, "I Miss You" reached #3 on Billboard's Hot 100 Charts.
Aaliyah: The Actress
Aaliyah's talents were not limited to singing. She starred opposite martial artist Jet Li in the motion picture Romeo Must Die, and played the lead role of Queen Akasha in the horror film Queen of the Damned.Conclusion
Alas, Aaliyah died tragically in a plane crash in the Bahamas onAugust 25, 2001; however, her musical legacy will live on forever. Shewas able to accomplish many milestones in her short life, both in musicand in acting, thus making her an inspiration to us all.Aaliyah will go down as one of the greatest and kindest artists thatcontemporary pop and R & B music have ever known. It is safe to saythat all of her fans and listeners truly "miss" her!
Carbon Fumes Drugged the Six Politicians Found Unconscious
The true story has come out about what really happened to the six politicians that were found unconscious in a bus by some Okada men in the Gbagada area of Lagos State last week. Contrary to the story that they were drugged and abducted, the politicians, during a news conference at the Bariga Local Council Development Area of Lagos State at the weekend, said that wasn't what happened.
One of the men said it was carbon monoxide from the exhaust pipe that was broken and kept inside the vehicle they were driving in that led to their drowsiness. The glasses were wound up as the carbon monoxide in the exhaust pipe circulated in the vehicle. This was what made them fall unconscious.
Siku Moja Bada Ya Kamati Kuu Ya CCM Kulalamikia Bei Ya Mafuta, Bei Za Mafuta Zapungua
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TOKA TFF Agosti 2, 2011
VILLA KUANZIA LIGI UGENINI
Villa Squad ya Dar es Salaam iliyopanda daraja msimu huu Agosti 20 mwaka huu itaanza michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2011/2012 kwa kucheza ugenini dhidi ya Toto Africans kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Mechi nyingine za raundi ya kwanza zitakuwa kati ya Coastal Union na Mtibwa Sugar (Mkwakwani, Tanga), Kagera Sugar na Ruvu Shooting (Kaitaba, Bukoba), Polisi Dodoma na African Lyon (Jamhuri, Dodoma) na Azam na Moro United (Chamazi, Dar es Salaam).
Raundi ya kwanza itamalizika Agosti 21 mwaka huu kwa mechi kati ya JKT Oljoro na Simba kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid, Arusha na Yanga dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mzunguko wa kwanza (first leg) wa ligi hiyo utamalizika Novemba 5 mwaka huu wakati mzunguko wa pili (second leg) utamalizika Aprili Mosi mwakani ambapo jumla ya mechi 175 zitachezwa.
Pambano la watani wa jadi kati ya Yanga na Simba litafanyika Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mechi ya mzunguko wa pili ambapo Simba itakuwa mwenyeji itafanyika Aprili Mosi mwakani kwenye uwanja huo huo.
NGORONGORO HEROES YAALIKWA COSAFA
Timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) imealikwa kushiriki michuano ya umri huo ya Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwaka Afrika (COSAFA) itakayofanyika kuanzia Desemba 1-10 jijini Gaborone, Botswana.
Wachezaji wanaotakiwa kushiriki michuano hiyo ni wale waliozaliwa baada ya Januari 1, 1992. Timu zinatakiwa kuthibitisha ushiriki wao kufikia Agosti 17 mwaka huu na ratiba itapangwa Agosti 24 mwaka huu jijini Gaborone. COSAFA itachangia sehemu ya nauli ya timu shiriki kwenda kwenye mashindano hayo.
Ngorongoro Heroes inayofundishwa na Kim Poulsen akisaidiwa na Adolf Rishard hivi sasa inafanya mazoezi ya wiki moja kila mwezi.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Kupata ratiba kamili ya ligi kuu mzunguko wa kwanza
sehemu ya Madereva wa magari makubwa yanayobeba mizigo kwenda nje ya nchi wakizungumzia hatua ya kugoma kwao katika eneo la Tunduma, habari hizi ni sehemu ya kazi zilizofanywa na Indaba africa kuweza kufikisha ujumbe kwa watanzania ndani na nje waliokuwa wakifuatilia sakata hilo ambalo hatimaye limefikiwa makubaliano baina ya serikali, wamiliki na maderva wenyewe.