Fungua
Indaba Africa

Indaba Africa

Mbeya, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

To facilitate, rural and urban access to information through simple and easily accessed systems, blogs being among them.

Mabadiliko Mapya
Indaba Africa imeongeza Habari 2.
Wanafunzi wa stashahada ya Uzamili wa chuo cha Mipango Dodoma wakichora ramani ardhini ikiwa ni hatua za kutengeneza mpango wa Maendeleo wa kisekta katika Kijiji cha WAMI DAKAWA mkoani MOROGORO. utaratibu huu unawawezesha wanachuo kutoka wakiwa na ujuzi wa kusimamiana kutekeleza miradi ya maendeleo huku wakioanisha na miongozo... Soma zaidi
7 Januari, 2012
Indaba Africa imeongeza Habari.
Higly appreciated comment
7 Desemba, 2011
Indaba africa: Kuanzia tarehe 17 hadi 24 July 2011 Madereva wa magari yanayopeleka mizigo nje ya nchi waligoma kwa kile walichokiita serikali kufumbia macho kwa makusudi tatizo la wenye magari hayo kutowapatia mikataba, kutowaajiri na hata kuwaminya katika posho za kupeleka mizigo hiyo nje huku umri ukienda pasipo... Soma zaidi
29 Julai, 2011
Indaba Africa imeongeza ELIMISHA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
29 Julai, 2011
Indaba Africa imeongeza Habari 2.
29 Julai, 2011
Indaba Africa imehariri ukurasa wa Historia.
Indaba africa imeanza mwaka 2007 ikijielekeza zaidi katika kutoa huduma za mwasiliano ya teknolojia ya habari na hasa huduma za Internet katika wilaya ya Mbozi katika mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa wilaya ya Mbozi ambayo kwa idadi ya wakazi wake inachukua nafasi ya kwanza katika mkoa mbeya kwa wilaya zake ambapo... Soma zaidi
29 Julai, 2011
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu