Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

IRINGA KWA NJINSI WANAVYOJITUPIA NGONO SIJUI ITAKUWAJE

SDC10500.JPG
Sura ya Iringa jioni ya leo

SDC10497.JPG
Bado ni Iringa hapa jioni hii

SDC10488.JPG
Hii ni shughuli iliyofanyika mchana huu kwenye moja ya Guest House nilikolala nimekutana na hali hii kwenye dust bin , tunashukuru hawa ndiyo waliojali, je hawa wanaokwenda nyama kwa peku inakuwavipi katika maambukizi mapya? je mikakati maalumu ya kukabiliana na maambukizi Iringa inatekelezeka?

ILO YAUNGANA NA MIKOA YA MBEYA NA IRINGA KUTEKELEZA MIKAKATI MAALUMU YA KUKABI MAAMBUKIZI MAPYA

SDC10482.JPG
Washiriki wa mafunzo ya mwelekeo wa utekelezaji wa mpango wa kupunguza maambukizi mapya katika maeneo barabara kuu yenye maambukizi mapya ambao unalenga zaidi sekta isiyo rasmi ambayo imemalizika leo mjini Iringa

SDC10483.JPG

SDC10481.JPG

SDC10480.JPG
AFISA Mipango Mkoa wa Iringa Bwana Nuhu Mwasumilwe akitoa hotuba yake kwenye mafunzo hayo kulia kwake ni Mratibu wa mradi huo Bi Tulanoga Matimbwi