Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Mliosoma zamani mlikula raha , Tumemkosea nini Mungu tunaosoma sasa hivi ! http://t.co/0tNCVjFJ
Maoni (0)

@BernardMembe @lifeofmshaba @jmkikwete @MbelwaK @pkallaghe Tupo nao hao wamekomaa kisiasa na kutambua umuhimu wa uwazi, haswa @RNMsuya

@BernardMembe @jmkikwete @JMakamba Tutashukuru kwa upande wenu hatuna neno hongera kwa kutambua umuhimu wa mawasiliano Msituogope wananchi

Tunazimiss sana enzi hizi.. Laiti kama shule zote zingerudia kipindi hiki, Serikali kumbukeni tulipotoka http://t.co/8dUJFcaj

@BernardMembe @lifeofmshaba Mheshimiwa jaribu kuwashauri mawaziri wenzako wathubutu kujiunga hapa na kujibu baadhi ya hoja za wananchi

@Irenei2011 Salama kaka ! Ni kweli vitabu vingi havifai kutumika na sababu kubwa ni hii hapa http://t.co/JBlb4l3F