
@HakiElimu @jmkikwete Mfano kuna mambo mengi ya elimu ambayo wangetupa majibu kwa urahisi hapa kuliko mlolongo mrefu wa kiofisi #tafakari

@jmkikwete Mheshimiwa kwa kuwa umekuwa ukitujuza mambo mbalimbali hapa unaonaje ukawashauri mawaziri kutumia mtandao huu kujibu hoja mblmbl

@ZakayoWangwe " Watu wanaostahili " utawapimaje kabla hawajapata ajira, hapo ndipo kwenye utata, wengi tu ni wasomi lakini shida uadilifu

Moja ya sababu zinazowafanya wanafunzi kushindwa kufanya vema kimasomo , inaanzia mbali, wajua hili? http://t.co/7vQggK5n

YULE MDUDU WA RUSHWA YATIKISA ELIMU : Wachapishaji wa vitabu vya nchini Tanzania Oxford University Press walitoa... http://t.co/slxQ4Qu1

Confirmed a corrupt Government : School Books scandal , World bank bans for three years any deals with Oxford... http://t.co/AYL8A8zT

@PatriceMlay Useful findings ! Thanks ,There is a Swahili say "Ukitaka kutibu tatizo anzia kwenye mzizi " Sounds true

@majaliwa68 Shukrani ! Pamoja ! In short the communication was meant to be Right goes with responsibilities #HakiNaWajibu