
dozens of people followed me and 2 people unfollowed me // automatically checked by http://t.co/SaFvd1t8

@MariaSTsehai @lilianruga @Semkae @Islam_Dar Alipokatazwa akamkatakata mapanga mwalimu na kumngofoa kiganja cha mkono na vijana wa kisonjo

@MariaSTsehai @lilianruga @Semkae @Islam_Dar Kwa mujibu wa chombo kimoja cha habari ni mwananchi aliyekuwa akililisha mifugo shuleni

@MariaSTsehai @lilianruga @Semkae @Islam_Dar True and this is a second time morani kuwapiga walimu

@lilianruga @Semkae @MariaSTsehai @Islam_Dar Wasipokuwa wanachukuliwa hatua watapiga hata polisi na viongozi na wanajamii wengine

Tunaalani vitendo vya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kuwapiga hadi kuwajeruhi walimu. Sheria ichukue... http://t.co/nF5WJOSw

Hawavumi lakini wamo ? Angalia moja la darasa nchini Afrika ya Kusini .Hivi Waafrika tunakumbuka kuwa elimu ndio... http://t.co/X5aIgeux