Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

Walimu waicharukia serikali; wadai serikali imepuuza amri ya Mahakama iliyotaka Serikali na Chama cha Walimu... http://t.co/oUBz3aLb

Haki Elimu HakiElimu

Sehemu ya Pili ya Kipindi cha Mwalimu ni Nani kitakachoruka hewani ITV kesho saa 1 kamili Usiku http://t.co/D9JNNkwK

MWALIMU NI NANI (Sehemu ya Pili)

Kipindi hiki cha Tafakari Time kinachotengenezwa na Shirika la HakiElimu kinachobeba mada ya Mwalimu ni Nani? , huu ni mwendelezo (sehemu ya 2) ya kipindi kinachomzungumzia Mwalimu.
Views: 0
0 ratings
Time: 00:53 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

Hii ndiyo sehemu ya kipindi cha Tafakari Time kilichopokea maombi mengi ya wadau kirudiwe ! http://t.co/fpJl0yxi

Haki Elimu HakiElimu

I uploaded a @YouTube video http://t.co/xhpK4daS TAFAKARI TIME - MWALIMU NI NANI.

TAFAKARI TIME - MWALIMU NI NANI.

Sehemu ya kipindi cha Tafakari Time kinachotayarishwa na Shirika la HakiElimu, kipindi hiki kinamzungumzia Mwalimu na Taaluma ya Ualimu kwa Ujumla
Views: 9
0 ratings
Time: 00:54 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

@njamason Inasikitisha siasa zimetawala katika jambo hili , wamefanya jaribio la kuwapima, waliobainika baadhi wako shule baadhi wamesimama

Haki Elimu HakiElimu

Wakazi wa dsm mnategemea nini kama nyie wenyewe hamshughuliki na maendeleo ya watoto wenu? http://t.co/DxsPoGlT #ChangeTanzania #Uwajibikaji