Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Je ndoto yako ni kuleta mabadiliko ya elimu nchini,jiunge na mtandao wa marafiki wa elimu nchini kuleta mabadiliko #marafikiwaelimu
Ibitekerezo (0)

Leo ASUBUHI kuanzia 03:15 - 04:00 katika kituo cha Television cha StarTV kutakuwa na kipindi cha Marafiki wa... http://t.co/7D7TA53d

@njamason Watch this to get our opinion, careful read or pay attention to the closing message http://t.co/q3aMnCzG

Walimu nchini Kenya hii leo hawatafika madarasani wakati shule zikifunguliwa kwa muhula wa tatu wote wakigoma... http://t.co/dBHeEw2l

Education stakeholders have applauded the non government organization, dubbed Education and Expedition Agency... http://t.co/QxjDXDSA