
Wanafunzi wengine wa #kidatochaIV wametoroka na kutokufanya mitihani, hawa ndio raia wanaotegemewa kuwa viongozi wa kesho kweli? Tafakari

Ni muhimu wanafunzi wa #kidatochaIV wakajitambua na wanawategemewa na taifa sasa leo wako "wamesahau" vitambulisho wakazuiwa kufanya exams

@Kasesela @LazaroNyalandu @marwaj7 @Kikwete @BernardMembe hilo linahitaji tafakari kabla ya hatua kumbuka tunazungumzia shule za umma

@Kasesela @LazaroNyalandu @marwaj7 @Kikwete @BernardMembe unaposema mwenye uwezo una maana gani wa uongozi au wa kifedha?na majukumu yake?

"@LazaroNyalandu: @marwaj7 @hakielimu @kikwete @bernardmembe nadhani sote tushiriki kuziboresha hizi shule."Kweli kila upande utimize wajibu

Endelea kufuatilia TL yetu mara kwa mara kufahamu msanii wa muziki wa kizazi kipya @JanBkiwia amesema nini kuhusu elimu ya awali nchini TZ

Msanii wa kitanzania wa muziki wa kizazi kipya anayefanya kazi zake nchini Sweeden @JanBkiwia ashiriki katika kampeni ya #boreshachekechea

@FlavianaMatata Shukrani dada ile link ni hii hapa http://t.co/SUd5htT7 halafu ya kwako tutumie kwenda hakielimumedia@gmail.com

@JanBkiwia shukrani mdau tunausubiria kwa hamu ujumbe wako shukrani kwa kuitikia wito wa kulijenga taifa @solothang @jokateM @FlavianaMatata