Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

Tukiwathamini walimu na kuwapa support kama leo basi tutegemee yaliyoandikwa katika mistari miwili ya kwanza hapa http://t.co/7WMS9HMV

Haki Elimu HakiElimu

@nyabatende Hongera sana mama kwa kweli ulifanya kazi kubwa kama asemavyo balozi @RNMsuya fikiria mama angekuwa hana elimu ungekuwa wapi

Haki Elimu HakiElimu

Ujumbe wa Leo #SikuyaWalimu " kama tumewakumbuka kiasi hiki tuungane kutetea maslahi yao tusisahau tulipotoka- Tetea Walimu Tulijenge Taifa

Haki Elimu HakiElimu

@kevarist Tushikirikishe sifa za walimu wako hawa hadi leo umewakumbuka na kuwapa umuhimu

Haki Elimu HakiElimu

@halphiddy Hongera sana walimu hawa na wafikishieni ujumbe kwa njia hii http://t.co/bLLwP7cC ili taifa lijue umuhimu wa walimu hawa