
@MariaSTsehai Hongera ziwafikie walimu hao kama hakukuwa na chekechea na hao wasingekuwa na elimu fikiria ingekuwa vipi? #boreshachekechea

@Justin_Nyangala Hongera kwao walifanya kazi kubwa hadi leo umewakumbuka,lakini wanaweza wasiuone ujumbe huu jaribu hii http://t.co/bLLwP7cC

Kwa wale mliopitia chekechea na leo mmewakumbuka walimu wenu basi wafikishieni salamu kwa njia hii http://t.co/bLLwP7cC #SikuYaWalimu

Kwa wale wote ambao hawakupitia chekechea & leo mmewakumbuka walimu wa darasa la 1 je mnaweza mkawafikishia salamu hvi http://t.co/bLLwP7cC

@mujemaso Hongera sana BI Mwanilonge kwa kazi nzito huenda tungekuwa na elimu bora ya chekechea leo ungemkumbuka mwalimu wa huko pia

@zittokabwe Hongera sana walimu wa Comrade Zitto kwa kumpa mwanga na mpaka leo anasimama kutetea maslahi yenu, hongera za kipekee kwa jirani

@mwandani Tukumbushe sifa za walimu wako hawa kiasi kwamba huwezi kuwasahu ingawa ni siku nyingi zimepita sasa

@zittokabwe Walimu hawa ndio walikufundisha a,e,i,o,u na 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10 au kwa nini umewakumbuka sana #SikuyaWalimu

@kmbise Hongera sana kwa mwalimu Zakaria Kitomari, je alishiriki katika kukufundisha a,e,i,o,u na 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10?