Injira
JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

Nyegezi Mwanza, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Baadhi ya washiriki wakiwa wanapata mafunzo ya PETS yaliyotolewa na la Mzeituni Foundation kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd kutoka nchini Sweden katika kata ya Mriti tarehe 24-26/1/2011
Baadhi ya picha ya wafadhili wa mradi wa ufuatiliaji na uwajibikaji kwa umma wakiwa wanaongea na mmoja wa wanawarsha wa mafunzo ya PETS huko Mriti 24-26/01/2011 yaliyoendeshwa na shirika la mzeituni foundation wakiwa wanafanya ufuatiliaji wa mradi wao.

Baadhiya washiriki wa mafunzo ya PETS wakiwa katika mazoezi ya ufuatiliaji na uwajibikaji wa umma katika ofisi ya Afisa mtendaji kata ya Mriti tarehe 24-26/01/2011 mafunzo hayo yalitolewa na shirika la MF kwa ufadhili wa Forum Syd.

Picha hii inaonyesha eneo la hospitali iliyoko kata ya Mriti ambayo ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyofanyiwa majaribio ya PETS na washiriki wa mafunzo hayo yaliyotolewa na shirika la mzeituni foundation kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd 24-26 /01/2011.

 

10 Werurwe, 2011
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.