Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Baadhiya washiriki wa mafunzo ya PETS wakiwa katika mazoezi ya ufuatiliaji na uwajibikaji wa umma katika ofisi ya Afisa mtendaji kata ya Mriti tarehe 24-26/01/2011 mafunzo hayo yalitolewa na shirika la MF kwa ufadhili wa Forum Syd. Picha hii inaonyesha eneo la hospitali iliyoko kata ya Mriti ambayo ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyofanyiwa majaribio ya PETS na washiriki wa mafunzo hayo yaliyotolewa na shirika la mzeituni foundation kwa ufadhili wa shirika la Forum Syd 24-26 /01/2011.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe