Mkurugenzi wa shirika lisilokuwa la kiserikal la Mzeituni Foundation Bw.Meshack Masanja akifungua mafunzo ya kuweka na kukopa kwa vikundi vya wajasilia maliwa kata ya Mriti mwezi jan 2011 kwa ufadhili wa shirika la FORUM SYD kutoka nchini Swiden.
9 Machi, 2011