Fungua
JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

Nyegezi Mwanza, Tanzania

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji, Afisa Mipango wa Mzeituni Foundation pamoja na mwalimu mlezi wa wototo hao Bi Anna Wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufunzi wenye ulemavu siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011

large.jpg

Mukurugenzi Mtendaji(Meshack Masanja) na Afisa Mipango(Paskazia Peter) wa Mzeituni Foundation Wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufunzi wenye ulemavu siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa Mzeituni Foundation akitoa taarrifa kwa ufupi kuhusu asasi ya Mzeituni siku ya kukabidhi madawati.Tarehe 19/07/2011

large.jpg

Paschal kuboja Mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio Ukerewe Mwanza Tanzania akieleza mapungufu yaliyopo shuleni hapo nayo ni vyoo,madarasa na kutokuwepo kwa maji shuleni hapo 19/07/2011

large.jpg

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Mzeituni,mgeni rasmi na Kaimu mwl Mkuu wakibadilishana mawazo kabla ya kukabidhi madawati 19/07/2011

large.jpg

wanafunzi wa shule ya msingi Nansio-Ukerewe wakipokea msaada wa madawati yaliyogawiwa na asasi isiyo ya kiserikali Mzeituni Foundation chini ya ufadhili wa Benki kuu ya tanzania (Tawi la Mwanza) na Michango ya Wafanyakazia wa Mzeituni foundation.Tahehe 19/07/2011

large.jpg

Mkurugenzi mtendiji wa shirika lisilokuwa la kiserikali la Mzeituni Foundatio Bw.Meshack Masanja akifanya mahojiano na dakitari wa kituo cha afya cha Igalukilo juu ya hali yaupatikanaji wa huduma ya afya hususa ni kwa akinamama,mama wajawazito na watoto katika kituo chake tarehe 7/4/2011

Wanakikundi wa kikundi cha kuweka na kukopa cha  huko Mriti wakiwa wamekusanyika katika siku yao ya kuweka na kukopa,nakupeana mawaiza na mbinu zingine za kweza kuendeleza kikundi chao ili kuweza kukabiliana na ugumu wa maisha.

 

Mwananchi  wa Mriti ambaye ni miongoni mwa wajasilia mali wa vikundi vya kuweka na kukopa akitoa shukrani kwa viongozi wa shirika la Mzeituni Foundation kwa kuwawakirisha wanakikundi wenzake baada ya kukabidhiwa sanduku kwa ajili ya kikundi chao na kuongeza kusema wao wataendeleza kikundi chao kwa kufuata mafunzo yaliytolewa na shirika hilo kwa ufadhili wa shirika la kiswideni la Forum syd katika kata yao.