Envaya

Foundation for Civil Society

FCS Narrative Report

A. Matokeo ya kati/mabadiliko ya muda mfupi yaliyotarajiwa kama yalivyo kwenye kiambatanisho E Mkataba

Improved participation of 390 community members on environmenta management in West District in 29 Shehias by October 2011
Increased Number of Districts Based water sectors reforms Coordination forums/Meetings put in place from 0- 2 by the end of December 2010.

Increased number of trees Planted at the water source from the current 7,520- 30,250 by the end of May 2010

Reduced cases of water borne related diseases from the current cases of Cholera, diarrhea ,typhoid and dysentery of 102,242,154 and 372 to76,100,58, and 256 cases respectively by December 2010

Increased number of Health and Sanitation ventilated improved pit latrines constructed by 60 By the end of December 2010.

Increased number of Training of Trainers TOTs Trained On Water resources management and organizational financial management from the 0-50 by the end of June 2010
1. Uwezo na uelewa wa kimaarifa, mbinu na stadi kwa AZAKi za kufanya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamiii (SAM) umeongezeka.

2. Ushiriki wa AZAKi na jamii katika kufuatilia Uwajibikaji Kijamii (SAM) katika miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa unaimarika na kuboreka.

3. Uwajibikaji wa viongozi katika utekelezaji na usimamizi wa miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa unaboreka.

4. Uwazi wa viongozi na watendaji wa Halmashauri katika utekelezaji wa miradi na shughuli za maendeleo katika Halmashauri za wilaya/manispaa unaongezeka.

5. Ushirikiano na mahusiano baina ya viongozi/watendaji wa Hlamshauri za Wilaya/manispaa na AZAKi vinaboreka na kuimarika.

6 Upashanaji na upatikanaji wa habari na taarifa za utekelezaji, usimamizi na ufanisi wa mipango na bajeti za maendeleo unaongezeka, kuimarika na kuboreka.
Viongozi pamoja na wanachama 37 na viongozi watatu wa serikari za mitaa wamepatiwa mafunzo ya uendeshaji wa Asasi na utawala bora na wamefahamu wajibu wao kwa sasa
Enhanced capacity of the organization and executive committee to plan and implement priorities strategically.
Strengthened capacity of financial officer and executive committee members on proper management of fund and other organizational resources.
Strengthened capacity of the organization in mobilizing organizational and financial resources .
Enhanced capacity of executive committee to monitor and evaluate the outputs of their work and project progress.
Viongozi 30 toka Asasi wanachama wa Ungoki wameongezewa uelewa juu ya Rushwa na Madhara yake. -
1.1 Kuongezeka kwa uelewa na uwezo katika usimamizi na utunzaji wa fedha miongoni mwa viongozi na wanachama wa asasi [ SADEF]
1.2 Kuongezeka kwa uelewa katika uandaaji na usimamizi wa miradi miongoni mwa wanachama
1.3 Kuwepo kwa kanuni na taratibu zilizo wazi za uendeshaji wa asasi.
1.4 Gharama za utawala na uendeshaji
KUIMARIKA KWA KAMTI ZA MAZINGIRA ZA VIJIJI 20 KATIKA KATA ZA KAENGESA , SANDULULA NA MAMBWEKENYA
1. Semina na mikutano imeendeshwa vyema na hivyo wanawake wa kata ya Lugarawa na Mundindi wanuelewa wa kutetea na kudai haki yao ya kumiliki ardhi
1. Kuongezeka kwa uelewa wa watu wenye ulemavu na jamii kiujumla kuhusu haki, wajibu, nafasi na fursa zilizopo na kuwazunguka za kujiletea maendeleo kwa mujibu wa sera.

2. Kuongezeka na kuboreka kwa ushiriki wa watu wenye ulemavu katika michakato ya sera na maendeleo kwenye ngazi tofauti za msingi katika jamii.

3. Kuboreka kwa ushirikiano kati ya taasisi za Serikali, Asasi Zisizo za Serikali, viongozi wa dini na asasi nyinginezo dhidi ya asasi za watu wenye ulemavu.

4. Kupungua kwa vitendo vya unyanyapaa tofauti dhidi ya watu wenye ulemavu kutoka kwa jamii inayowazunguka.

5. Kuongezeka kwa idadi ya uandikishaji shule watoto wenye ulemavu walio chini ya umri wa miaka mitano (5) katika maeneo tofauti ya halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
- Uelewa wa sera ya maendeleo ya wanawake na jinsia umeongezeka miongoni mwa viongozi wa serikali za mitaa na wawakilishi wa wananchi na wanashiriki kikamilifu kutekeleza na kupambana na vitendo vya unyanyasaji kijinsia dhidi ya wanawake katika halmashauri za Kigoma na kasulu.

- Matukio mbalimbali ya unyanyasaji kijinsia dhidi ya wanawake yameripotiwa na hatu zinachukuliwa kwa wahusika kama sehemu ya mikakati ya mabaraza ya kata na Halmsahuri za Wilaya husika kupambana na tatizo hilo.
Semina ya utawala bora iliendeshwa kwa siku 4 katika kata sita kwa mwaka wa kwanza 2010, ambazo zilikuwa ni Dunda, Zinga, Vigwaza, Lugoba, Msata na Miono. Jumla ya washiriki 380 walipata mafunzo ya utawala bora, Me 160 na Ke 220.



mikutano kumi na tano ya umma ya uhamasishaji imefanyika katika kata tano za Miono, Dunda, Vigwaza, Msata na Mkange kufikia Juni 2011. Jumla ya watendaji wa mtaa na Kata 70 walihamasishwa.



Kuboreka kwa maisha ya watoto yatima na walio katika mazingira hatarishi
Wanawake walio katika mazingira duni na migogoro mbalimbali wamepata fursa ya kushiriki katika kutoa maamuzi kwa kuzingatia haki zao mfano wanawake 7 katika kata ya Bujela, Kisondela na Lufingo wamejiunga kwenye mabalaza ya ardhi ili kuhakikisha maslahi yao katika ardhi yanaangaliwa ipasavyo.
-Wananchi wamepata mwamko wa kudai haki zao (ikiwa ni pamoja na mikutano na Wabunge
- Wawakilishi wa wananchi (Wabunge, madiwani pamoja na watumishi wa Halmashauri) wameona umuhimu wa kushirikishana/kukutana ana kwa ana na wananchi katika uibuaji, kufanya maamuzi na kufuatilia utekelezaji
- Mahusiano kati ya Azaki, wawakilishi, Watendaji wa Serikali na wananchi yameboreka na kuimarika ili kulea maendeleo kwa kasi
- Wawakilishi wa wananchi pamoja na watendaji wa Serikali wameona uzuri wa kupata maoni ya wananchi kabla na baada ya kufanya maamuzi kwa njia iliyowazi na shirikishi
Kpungua kwa kasi ya maambukizi ya VVU/ UKIMWI katika Kata ya Unga Limited na Sokoni 1 katika mwaka 2011
1. Watoa huduma 64 wa ngazi ya jamii wa kata za wilaya ya Lindi wanatoa huduma kwa wagonjwa wa muda mrefu majumbani na watu waishio na VVU/UKIMWI.

2. Uelewa wa jamii kuhusu unyanyapaa na uwezo wa utunzaji wa watu waishio na VVU/UKIMWI umeongezeka.

3. Jamii ya kata 8 za; Rutamba, Nyengedi, Wailes, Msinjahili, Matopeni, Nachingwea, Mtama na Mingoyo zimewezeshwa kuandaa mkakati wa utoaji kwa watu waishio na VVU/UKIMWI.

4. Uelewa wa wadau na jamii kuhusu athari za unyanyapaa kwa watu waishio na VVU/UKIMWI katika Manispaa ya Lindi na Lindi vijijini umeongezeka.

5. Mafanikio, mapungufu na changamoto za utekelezaji wa mradi vimebainika kuwekewa mikakati na kuboreka.
1. SWEAT WITH CAPACITY TO IDENTIFY, PLAN, IMPELEMENT, MONITOR AND EVALUATE ITS ACTIVITIES HENCE ATTAIN ITS VISION AND GOAL.
2. SWEAT 5 YEAR STRATEGIC PLAN DEVELOPED AND USE
3. 20 MEMBERS OF THE ORGANIZATION TRAINED IN STRATEGIC PLAN WRITING
RESULT AREA 1
Indicators for outcome 1:
1. YODESO undertaking independent Wete District budget Analysis and advocacy activities on scrutinized weakness in budget
2. Increased role of youths to working with grass roots Wete youth and community to participate in monitoring the implementation of budget and demand accountability

RESULT AREA 2
Indicators for outcome 2:
1. Number of youth both men and women attending meetings and participating in local government planning and budget process in Wete district
2. Availability of budget information to youth and community (public notice board posted with relevant budget information easily understood) action taken to demand accountability
A complete five years Strategic Plan of CODECOZ developed by March 2012 that provide strategic direction for the next five years.
« Swali lililotanguliaSwali lifuatalo »

« Rudi nyuma kwenye ripoti