Envaya

Foundation for Civil Society

FCS Narrative Report

C. If any difference, what is the reason?

A total of fifty Six participants were invited but only fifty two attended the meeting on the water sector reform forum and meeting

The target of 30,250 trees to be planted at the water source, could not be reached due to the fact That, JUHUDI NGO had run out of tree seedlings and thus could not access the seedlings due to the dry spell that was experienced in last Quarter of the year 2010.

The challenges in the construction of the Ventilated improved Pit (VIP) latrines lies with the technical and financial capabilities of the local community, there was no readily available expertise in the slabs construction, despite the local Government promising to provide its expertise in the constructions and instructional purposes
1. Ndiyo, tofauti iliyopo ni kubadilishwa kwa shughuli ya mradi kutoka ya Kuendesha mafunzo kwa wawakilishi wa AZAKi wa wilaya 5 za Mkoa wa Lindi juu ya Programu ya Maboresho ya Serikali za Mitaa (LGRP) na badala yake kuwa Mafunzo kwa wawakilishi wa AZAKi juu ya dhana ya Ufuatiliaji Uwajibikaji Kijamii (SAM). Hata hivyo kabla ya kufanyika kwa mabadiliko haya Mratibu wa Mradi aliwasiliana na Afisa Programu anayesimamia mradi huu katika FCS, Bi. Rose Kihulya na kutoa idhini ya kutekelezwa kwa shughuli hiyo pasipo kupoteza walengwa na mantiki ya mradi.

2. Katika uombaji fedha za ruzuku robo ya kwanza, mwaka wa pili kulifanyika makosa ya kiufundi kwa kuomba fedha zaidi ya kiasi kilichostahili kwa jumla ya shilingi (TZS.11,420,850/=) ikilinganishwa na shilingi (TSZ. 10,897,000/=) zilizostahili na hivyo kuwepo tofauti ya shilingi (TZS. 523,850/=) kama ziada ambazo zimebakia na zitapunguzwa toka kwenye uombaji wa fedha robo ya pili, mwaka wa pili wa utekelezaji wa mradi.
Uelewa wa viongozi wa asasi na wanachama wake umeongezeka ku tokana na mafunzo waliyoyapata.
Mafunzo haya yalipaswa kutolewa mwezi march 2010 yametolewa desemba 2010 kutokana na mfadhili kuchelewa kuto ruzuku
Tofauti iliyojitokeza ni kuongezeka kwa idadi ya washiriki wa mafunzo ya kujenga uwezo kuhusu Sera ya Taifa ya Watu Wenye Ulemavu kutoka watu 36 iliyokusudiwa na kufikia 45 kama ilivyokuwa katika uhalisia wake.
Kwa kifupi hakuna tofauti yoyote iliyojitokeza na kufanya mafanikio au matokeo ya awali kuwa tofauti. badala yake tunaona mafanikio makubwa tofauti na tulivyofikiria awali.
Hakuna





Hakuna




Hakuna


Shughuli hii bado haijafanyika, kwa sababu mradi uliaza kutekelezwa rasmi Jan. 2010 badala ya 2009 kama ilivyokuwa imetegemewa wakati wa kuandika andiko la mradi.




Hakuna




Hakuna


Tofauti zilizojitokeza ni tulishindwa kufanya shughuli zetu kwa wakati kutokana na hali ya hewa baadhi ya maeneo mvua iliharibu miundo mbinu na kufanya barabara kutopitika
- Kutokana na majukumu mbalimbali ya kiutendaji, baadhi ya wabunge hawakuweza kushiriki bali waliwatuma wawakilishi wao ambao walipeleka mrejesho wa yote yaliyozungumzwa kwenye mkutano . Pamoja na njjia hiyo ICISO iliweka kumbukumbu ya kila kilichoongelewa /kuulizwa na kupeleka taarifa kamili kwa Mbunge
- Pamoja na kufuatiliwa kwa kipindi kirefu ili kupanga muda muafaka wa kila Mbunge kuweza kushiriki katika mkutano, baadhi hawakushiriki wala kutuma wawakilishi lakini ICISO imewapelekea taarifa ya mwenendo mzima wa mkutano ulivyoendeshwa
Mradi haukuwafikia makundi maalumu ya walemavu, wajane, wazee, yatima na vijana kwa sababu ya uchache wa rasilimali watu na fedha.
Hakuna tofauti yoyote iliyojitokeza katika utekelezaji wa shughuli za mradi.
THE FACILITATOR DIDN'T PRODUCE THE LAST DRAFT DUE TO REASONS THAT ARE OUT OF OUR CONTRACT, WE ARE STILL ASKING HIM TO PRODUCE IT.
« Previous questionNext question »

« Back to report