Fungua
dhulusportsclub

dhulusportsclub

mwanzacity, Tanzania

Uongozi wa Dhulu Sports Club Unawakumbusha wale wote waliopatiwa barua za uwanachama wajitahidi kufanikisha uwanachama wao kwani siku za kulipia zinakaribia....

Hivyo kutokana na wadau kuwa na shughuli nyingi za kiofisi,kishule na majukumu mengine ya kimaisha kuwabana hadi kushindwa kufika ofisini kwetu kwa sasa,   Mchango wako unaweza utuma kwa njia ya M-PESA /TIGO-PESA kwenye namba za ofisi ambazo ni 0767260480 na 0658160480 nasi tutaipokea...

  Wadau tujitahidi kutimiza mchango huo ili hatua ya kutengeneza vitambulisho vya Uwanachama ifanyike haraka iwezekanavyo. Uongozi umeongeza siku za kupokea mchango hadi tarehe 28/02/2013 itakuwa mwisho wa kupokea michango.

       PAMOJA TUNAWEZA

Ahsanteni...

 

13 Februari, 2013
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (3)

Abel Ben alisema:

viongozi nimewapata na mmenirahisishia kazi.Tatuma kwa m-pesa kesho asubuhi.
             Kazi njema viongozi.

13 Februari, 2013 (ilihaririwa 13 Februari, 2013)
maleba (kigoma) alisema:
mi nimeshalipia tayari nadhani picha mlioelekeza nita email kesho kwa ajili ya kitambulisho kazi nzuri! viongozi
22 Februari, 2013
gamaya alisema:
thanks mr maleba...tupo pamoja kaka...
24 Februari, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.