Fungua
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG

DAKAWA PERFOMING ARTS ORG

MVOMERO DISRTICT, Tanzania

kuona mila desturi na tamaduni za asili katika jamii zinatumika ipasavyo kwa kuwa kichocheo shirikishi katika maendeleo na mabadiliko ya kiuchumi katika jamii bila ya kuathiriwa na uwepo wa utandawazi.

Mabadiliko Mapya
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG imeumba ukurasa wa Jitolee.
DAPEA Inakaribisha wadau wa sanaa na utamaduni wa mwafrika ambao wapo tayarikufanya kazi pamoja na kutoa elimu kwa wanachama wake bila masharti yeyote. – Ikumbukwe kuwa shirika msingi wake ni wa huduma kwa jamii kama yalivyo mashirika mengine ya kirai hivyo suiala la kujitolea kwa manufaa ya jamii yanapewa kipaumbele. ... Soma zaidi
29 Agosti, 2012
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG imeumba ukurasa wa Historia.
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG Ilianzishwa mwaka 2007 kikiwa ni kikundi kidogo cha wasanii kilicholenga awali kutoa elimukwa jamii kwa kutumia mbinu ya sanaa hasa sanaa shirikishi kwa maendeleo ya jamii.Kikundi kilianza kikiwa na wasanii sita waanzilishi na wasanii waalikwa sita.Kilifanya kazi zake... Soma zaidi
29 Agosti, 2012
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG imeongeza DAKAWA ECONOMIC DEVELOPMENT ORGANIZATION kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
29 Agosti, 2012
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG imeongeza African Heritage Foundation kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
Kwamba ni mashirika yanayofanya kazi zinazolandana katika kukuza na kurithisha Utamaduni wa mtanzania katika jamii.
29 Agosti, 2012
DAKAWA PERFOMING ARTS ORG imejiunga na Envaya.
29 Agosti, 2012
Sekta
Sehemu
MVOMERO DISRTICT, Morogoro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu