kuwaleta pamoja watu/familia zinazolea watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo ili kubadilishana uzoefu, kupata elimu ya namna ya kuwatunza watoto wenye ulemavu wa Mtindio wa Ubongo akili na viungo
Kutoa elimu ya ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na Viungo ili Kupunguza athari na maumivu yatokanayo na Mtindio wa Ubongo na viungo.
Kukusanya, kuchapisha na kusambaza taarifa zinazohusu matatizo yatokanayo na ulemavu wa Mtindio wa Ubongo na viungo.
Kuwasaidia wanachama kutetea na kupata haki zao kwa mujibu wa sheria.
Mabadiliko Mapya

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari 2.
makam mwenyekiti akiwasilisha mada
24 Septemba, 2015

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari 4.
22 Septemba, 2015
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari.
maadhimisho ya mtindio wa ubongo duniani ktk viwanja vya mnazi mmoja jiiini dar es salaam oktoba 2 2014.mgeni rasmi alikuwa kaimu katibu mkuu wizara ya afya na ustawi wa jamii ndg michael john
4 Oktoba, 2014

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari.
MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014. – Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi. – agenda za mkutano mkuu ni – 1.marekebisho ya katiba, ... Soma zaidi
9 Juni, 2014
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari.
Taarifa – viongozi wa chawaumavita watakuwa hewani katika intavyuu ya channel 10 saa 1 asubuhi.
17 Desemba, 2013

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania imeongeza Habari 4.
4 Oktoba, 2013
Sekta
Sehemu
msasani-kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu