CHAWAUMAVITA jana iliitisha press conference ili kuzungumzia maadhimisho ya cp dayitakayofanyika mnazi mmoja tarehe 7.10.2015 jumatano saa 3 asbh hadi saa 6 mchana.
chawaumavita ni mshiriki wa kongamano la kimataifa kuhusu birth defects international conference birth defects 2015 linaofanyika katika hoter ya Serena kuanzia tarehe 21.09.2015 hadi 24.09.2015
Mgeni rasmi alikuwa mh makamu wa Raisi Dr Mohammed Gharib Bilal ambaye aliufungua rasmi jana jumatatu 21.09.2015.
CP DAY OCTOBER 7,2015
Chawaumavita kitaadhimisha siku ya CP oktoba 7 2015 ktk viwanja vya mnazi mmoja kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana.
tunatarajia mgeni rasmi atakuwa Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alhaj Said Meck Sadick,kauli mbiu ya mwaka huu ni "i am here" ambapo mtoto mwenye cp anajitambulisha kwa jamii ili aweze kupata huduma zake za msingi na hakia kiraia, na "we are here" wazazi wanajitambulisha ili jamii iweze kutambua changamoto ambazo wazazi wente watoto walemavu wanakabiliana nazo.
katika maadhimisho hayo tunatarajia kupata wenzetu wa CCBRT ambao watakuwepo ili kusaidia kutoa elimu kwa umma juu ya CP(celebral palsy)WCPD_2015_What_Is_CP_WORLD.pdf WCPD_CP_Diagnosis_Treatment_WORLD_2015.pdf World-CP-Day-2015-CP-Public-Awareness.docx
MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014.
Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi.
agenda za mkutano mkuu ni
1.marekebisho ya katiba,
2.ripoti ya kamati tendaji 2013/2014,
3.mapato na matumizi.
wajumbe wote wana karibishwa katika kushiriki zoezi hili muhimu la kikatiba
Taarifa
viongozi wa chawaumavita watakuwa hewani katika intavyuu ya channel 10 saa 1 asubuhi.
mgeni rasmi mheshimiwa diwani Rajab hussein kata makurumlma akimwakilisha mh mstahiki meya wa manipsaa a kinondoni