Fungua
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili  na viungo Tanzania

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania

msasani-kinondoni, Tanzania

MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM)JUNI 21,2014.

Mwenyekiti anawataarifu wanachama,wajumbe,wadau na jamii yote kuwa juni 21 2014,chawaumavita wanatarajia kufanya mkutano mkuu wa mwaka,katika viwanja vya mazoezi tiba manzese ukombozi,saa 3 asubuhi.

agenda za mkutano mkuu ni

1.marekebisho ya katiba,

2.ripoti ya kamati tendaji 2013/2014,

3.mapato na matumizi.

wajumbe wote wana karibishwa katika kushiriki zoezi hili muhimu la kikatiba

9 Juni, 2014
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.