Fungua
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect

African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect

Dar es salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

large.jpg

Maratibu wa Mradi ndugu Leodgard Lazarus Otaru akisisitizia jambo wakati wa mafunzo ya uwezeshaji jamii katika kuzitambua haki mbalimbali za watoto katika kijiji cha kiluvya 'A'

25 Juni, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

fadger (dsm) alisema:
kuwekeza kwenye haki za watoto ni msimgi wa taifa lolote ulimwenguni.........wazazi na serikali wanawajibu wa kuzitambua, kuzitunza haki za watoto na kuhakikisha vitendo vyote vinavyo kwenda kinyume na maslahi na haki za watoto vinakomeshwa na kutokomezwa
28 Novemba, 2021

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.