Mission of ANPPCAN Tanzania chapter
The mission of ANPPCAN Tanzania chapter is: To protect and prevent children from abuse and neglect through research, awareness creation, advocacy, provision of legal aid, resource mobilization and networking with governments, NGOs and community members in order to promote children’s rights and welfare.
Mabadiliko Mapya

African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect imeongeza Habari.
Timu ya mpira wa Pete kutoka Kilabu cha watoto katika shule ya Kiluvya B na kombe lao la ushindi. (Kiluvya B primary school, Child Right Club Netball team with their winner Trophy) Soma zaidi
27 Juni, 2012
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect ina ujumbe mpya katika mada Una maoni gani dhidi ya ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kingono(Ulawiti) kwa watoto wa kike na kiume, je adhabu zinazotolewa zinakidhi? nini kifanyike .
ANPPCAN TANZANIA CHAPTER: The media are key stakeholders in advocating for child rights and we therefore value your contribution and look forward to continue working together!
25 Juni, 2012
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect ina mada mpya kuhusu Una maoni gani dhidi ya ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kingono(Ulawiti) kwa watoto wa kike na kiume, je adhabu zinazotolewa zinakidhi? nini kifanyike .
ANPPCAN TANZANIA CHAPTER: Mfano ulio hai huu hapa chini; – JELA MIAKA 30 KWA KULAWITI MTOTO WA KIUME. – Mkulima wa kijiji cha Ihanja jimbo la Singida Magharibi, Samweli Simon(22), ameukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 9 ... Soma zaidi
25 Juni, 2012

African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect imeongeza Habari 7.
mwenyekiti wa kijiji cha kiluvya 'A' akifafanua jambo wakati wa mafunzo yaliyo endeshwa na shirika la ANPPCAN katika kijiji chake
25 Juni, 2012
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect imeongeza Habari.
ANPPCAN has joined Implementors Parners Group (IPG) which consist of organizations that deal with children issues, ANPPCAN is grateful to IPG for taking us on board and we hope we shall achieve the best together through partnership that we have built – please members find our website and feel free to comment... Soma zaidi
24 Februari, 2011
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect imehariri ukurasa mkuu.
24 Februari, 2011
Tovuti Nyingine
Sekta
Nyingine (child protection )
Sehemu
Dar es salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu