Fungua
African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect

African Network for the Prevention and Protection Against Child Abuse and Neglect

Dar es salaam, Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

large.jpg

wajumbe katika mafunzo ya haki za watoto, aliye simama pembeni ni ndugu Juma Khalifani toka ANPPCAN

large.jpg

Maratibu wa Mradi ndugu Leodgard Lazarus Otaru akisisitizia jambo wakati wa mafunzo ya uwezeshaji jamii katika kuzitambua haki mbalimbali za watoto katika kijiji cha kiluvya 'A'

large.jpg

mwezeshaji wa mafunzo dhidi ya haki za watoto Ndugu Emmanuel Mwasota toka ANPPCAN tanzania akiwa kwenye mafunzo na wanakijiji

large.jpg

baadhi ya wana jamii na wazazi walio hudhuria mafunzo ya haki za watoto katika kijiji cha Kiluvya 'A'

large.jpg

baadhi ya wana jamii na wazazi walio hudhuria mafunzo ya haki za watoto katika kijiji cha Kiluvya 'A'

large.jpg

shirika la ANPPCAN likiwa linaendesha semina ya haki za watoto katika kata ya kiluvya kwa wanafunzi wa shule za msingi mapema mwezi wa sita 2012

ANPPCAN has joined Implementors Parners Group (IPG) which consist of organizations that deal with children issues, ANPPCAN is grateful to IPG for taking us on board and we hope we shall achieve the best together through partnership that we have built

please members find our website and feel free to comment when you feel

ANPPCAN TANZANIA CHAPTER has been able to translate into kiswahili some of the important aspects in law that are most relevant to the child in accordance to the new child law act of 2009 please share with the rest especially those who want to know what the law say about children in Tanzania we shall be glad to get your comments on this

ANPPCAN TANZANIA CHAPTER would like to share with you our news later that was prepared from the project that is conducted in Kisarawe and most inputs in the news later are a product from the Child Right Club members

enjoy while reading it