Fungua
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO)

ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO)

MOSHI, Tanzania

  1. Kuunganisha wazazi katika kampeni ya kutokomeza UKIMWI
  2. Kutoa elimu ya UKIMWI katika jamii ya Rombo hususani wanawake
  3. kutoa elimu ya jinsia katika jamii
  4. kutoa elimu ya uraia hususani wanawake
  5. kusaidia makundi ya wasiojiweza kujikwamua kutoka  kwenye utegemezi makundi hayo yatima,wajane,watoto walio katika mazingira magumu,walemavu na watu wanaoishi na virusi vya ukimwi 
  6. Kutoa elimu ya mazingira kwenye jamii na kujiusisha na kampeni ya kupiga vita uharibifu wa mazingira kwa kuotesha miti na uhifadhi wa vyanzo vya maji
Mabadiliko Mapya
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) ina ujumbe mpya katika mada wanawake na maendeleo.
HOPE FOR NEW GENERATION: @ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): kwa maoni yangu vikwazo ni vingi ila kimoja wapo ni ushirikishwaji usio sahihi kwa wanawake na wanaume katika miradi ya maendeleo endapo miradi inayoanzishwa katika jamii itafanyika kwa kuwashirikisha kwa ukamirifu wanaume na wanawake basi miradi ya wanawake ingekuwa... Soma zaidi
21 Desemba, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) ina mada mpya kuhusu wanawake na maendeleo.
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): nani ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake 1,wanawake wenyewe? wanawaume? mifumo ya utawala?
22 Novemba, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) imeongeza Habari 6.
22 Novemba, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) imeongeza CHAMA CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII VUGA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
22 Novemba, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) imeongeza Temeke Youth Development Network kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
22 Novemba, 2014
ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO) imeongeza MWANAMBOGO UNITED YOUTH DEVELOPMENT kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
22 Novemba, 2014
Sekta
Sehemu
MOSHI, Kilimanjaro, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu