habari ndugu maskauti na wapenzi wa blog hii salam na pongezi kwa Uongozi wa CHUCHU FM kutusapoti katika kuendesha harakati za Skauti hapa ZANZIBAR kwa kurusha kipindi Maaalum katika kituo chenu cha Redio AHSANTE
UONGOZI WA CHUCHU FM
MULHAT DORCE KWA USHIRIKIANO WENU MZURI MULIOTUPA KATIKA SIKU HII YA LEO YA 22/2/2014 SIKU YA MUNZILISHI WA SKAUTI DUNIANI
NISIKU AMBAYO SKAUTI WETU WALIAZIMISHA KWA KAMBI NA KUTEMBELEA MAKUMBUSHO
February 22, 2014
Comments (1)
Kutothaminiwa juhudi zao za kujitolea.
2.kuona scout ni kazi bure isiyo na faida yoyote wala haioneshi maslahi kwao
USHAURI:Serikali iweke kiwango japo kidogo cha kuwatia hamasa wanachama wa scout ili ujione kuwa wanajaliwa.hata kama ni kazi ya kujitolea tu.